by admin | Jan 15, 2025 | Blogu ya Kiswahili
Kuifanya website ipande kwenye ukurasa wa kwanza wa Google watu wanaposearch keywords zinazoendana na website yako sio kazi rahisi. Kwanza website yako ni laZima ikae angalau siku 90 hadi 180 ili izoelewe na search engine bots. Ili website au keywords za website...
by admin | Jan 15, 2025 | Blogu ya Kiswahili
UTANGULIZI Unapotaka kuhost website ndogo, uchaguzi wa hosting ni rahisi kwani shared hosting itakupa vitu vyote utakazozihitaji kwa bei rahisi. Lakini website yako inavyozidi kuwa maarufu na kuwana functions nyingi ugomvi na shared hosting server unakuwa mkubwa na...
by admin | Jan 14, 2025 | Blogu ya Kiswahili, Namna ya Kulipa
Kufanya malipo kwa kuweka pesa taslimu moja kwa moja kwenye akaunti yetu ya benki katika Benki ya NMB, tafadhali tembelea tawi la karibu nawe au wakala wa benki na utumie maelezo ya akaunti ya benki yaliyo hapa chini kufanya miamala yako: Jina la Benki: NMB Bank PLC...
by admin | Jan 14, 2025 | Blogu ya Kiswahili, Namna ya Kulipa
Kufanya uhamisho wa fedha kutoka kwa simu yako ya mkononi ukitumia laini ya Airtel kwenda kwenye akaunti yetu ya Benki ya NMB, hakikisha kwamba akaunti yako ya Airtel Money ina fedha taslimu za kutosha kufanya uhamisho huo. Malipo ya Benki kwa Maelekezo ya Airtel...
by admin | Jan 14, 2025 | Blogu ya Kiswahili, Namna ya Kulipa
Kufanya uhamisho wa pesa kutoka kwa simu yako ya mkononi ukitumia laini ya Vodacom hadi kwenye akaunti yetu ya benki hakikisha kwamba akaunti yako ya MPESA ina pesa taslimu za kutosha kufanya uhamisho huo. Kwenye simu yako andika *150*00# na ubonyeze kitufe cha kupiga...
by admin | Jan 13, 2025 | Blogu ya Kiswahili, Namna ya Kulipa
Kufanya uhamisho wa fedha kutoka kwa simu yako ya mkononi ukitumia laini ya TIGO hadi kwenye akaunti yetu ya benki hakikisha kwamba akaunti yako ya TIGO PESA ina pesa taslimu za kutosha kufanya uhamisho huo. Kwenye simu yako andika *150*01# na ubonyeze kitufe cha...