Kuifanya website ipande kwenye ukurasa wa kwanza wa Google watu wanaposearch keywords zinazoendana na website yako sio kazi rahisi. Kwanza website yako ni laZima ikae angalau siku 90 hadi 180 ili izoelewe na search engine bots.
Ili website au keywords za website zipande kwenye ukurasa wa kwanza wa Google, mambo kadhaa yanatakiwa kufanika.
Ufafanuzi
Google anapandisha keywords zako juu ya zingine kwa kutoa maksi. Keywords zako zikiwa na maksi za juu kuliko zingine zote itawekwa ya kwanza. Ili kuweza kutoa maksi bila upendeleo, Google ametengeneza maswali mengi ambayo yakijibiwa vizuri kwenye webpage yako keywords husika hupewa maksi. Haya maswali ndio huitwa algorithm au rules.
Googlebot ni code ambayo ina uwezo wa kutembelea webpage na kuchukua data husika kwa ajili ya kupeleka kwenye main database ya google. Hii bot nayo imewekewa masharti au rules au algorithm itakayomuwezesha kufanya kazi yake kwa ufanisi na bila kukosea.
Sasa ili website yako iingie kwenye ushindani wa kupewa maksi nyingi kwa baadhi ya keywords zake ni lazima yafuatayo yatekelezwa kwa ufanisi.
1. Taarifa za kutosha/nyingi na za kipekee unique content:
2. Ukurasa unaoload kwa haraka na wenye code chache:
3. Menu rahisi kwa mteja na viunganishi angalau kila paragraph:
4. Kupandisha kwenye directories za nyumbani na nje kila wiki:
5. Kupandisha na kushirikisha kwenye mitandao ya kijamii, forums, blogs nk
6. Kuweka ulinzi kwenye website yako
7. Weka monitoring system kwenye website yako:
- http monitoring: hii inapima kama website yako iko online kwa kurudisha code 200. Kama haiko online inabidi urekebishe tatizo haraka aidha wewe au webmaster wako. Tool nzuri kwa hii ni https://uptimerobot.com/
- Traffic monitoring: Hii inatoa taarifa ya waliotembelea website wanatoka wapi, wametembelea wapi kwenye website na wamekaa muda gani. Pia utapata taarifa ya watembeleaji wapya na wanaorudi. Utajulishwa pia kiwango cha wanaoclick website yako dhidi ya wale wanaokuja na kuondoka bila kuclick popote hii ndio Bounce rate. Tool nzuri kwa hii ni Google analytic
- Script Monitoring: Hii inakujulisha kama scripts zipi zinatakiwa zifanyiwe update au upgade. Hii itakupa fursa ya kujua ni scripts zipi ziko obsolete yaani ziko deprecated kwa lugha ya kitaalamu (Yaani inatumia libraries ambazo hazipo supported tena. Pia itakujulisha kama script zako zimebadilishwa au kuna mpya zimeingizwa, Hii ni muhimu kwa kudhibiti hacking, phishing na script tempering ya aina yeyote. Kama unatumia WordPress, Tool nzuri ni Wordfence plugin ni nzuri
- Keyword(s) Monitoring: kufuatilia keywords zako zilizopo kwenye first page ya Google punde zikihama ili ufanye kitu kurudisha. Tool nzuri kwa hii ni https://uptimerobot.com/
- Spam Monitoring on Emails, Comments, Registration and Traffic Flooding. Kama unatumia WordPress, Tool nzuri ni Akismet plugin kwa coments na Jetpack kwa security zinginei
- Website attack monitoring, brute force, database injection, Cross-site scripting -CSS na zaidi. Kama unatumia WordPress, Tool nzuri ni Wordfence plugin ni nzuri
WHY CHOOSING WEBMAGIC TANZANIA
EXPIRIENCE
We have been in Tanzania web hosting industry for quite long since 2007. We are therefore experienced enough to advice, troubleshoot problems quickly and provide instant support to customers
Website security
SSL Certificates, while the world of hosting is going on secured servers, some charge this service, we offer free with any hosting
CUSTOMER SUPPORT
Quick support service – 20 hrs a day and 2 hours response time (Guaranteed only for working hours and days)
WEBSITE BACKUP
Secondary backup when you website goes off, corrupt or hacked we will just restore the fresh copy from the secondary storage
AFFORDABLE PRICE
Our prices are therefore based on this findings and we put very very affordable prices found nowhere else in Tanzania while maintaining the industry standard of services.
SERVER UPTIME
All Oof our web hosting plans from starter plan to premium plan offer you none questionable 99.9% uptime server
FREE SERVICES
Free domain registration, renewal, and transfer for any tz domain or regular one you get for free ass long as you continue hosting with us
PRIVACY
We always value the information provided by our customers by secure them with high value as one of our priority asset
Imekaa sawa. Asante kwa elimu nzuri